MSANII WA KUNDI LA WANAUME HALISI NA MHASISI WA KUNDI LA TMK FAMILY AFARIKI DUNIA
Leo alfajiri game ya muziki wa kizazi kipya imempoteza nyota wake ambaye alikua member wa kundi la TMK Wanaume halisi.The late Baraka Sekela, kwa jina la stage ni BK, ambaye yeye ni moja kati ya waasisi wa kundi la TMK Family, hata makao makuu ya kundi hilo yalikua nyumbani kwa wazazi wake karibu na uwanja wa taifa wilaya ya Temeke, jijini dar es salaam.Marehemu bk alikua anaumwa, hadi mauti yanamkuta alikua amelazwa hospitali ya rufaa ya muhimbili.
"Kwa mujibu wa rafiki yake wa karibu sana Hassan Omandi, marehem alikua anaumwa tumbo kwa takribani siku tisa na kuambiwa ana taifod katika hospitali aliyoenda kufanya vipimi, lakini baada ya kuanza dozi akazidiwa kabisa, ikabidi twende hospitali ya Temeke, kule wakaona ni tatizo kubwa na kumpeleka Muhimbili, ndio huko akaambiwa ini lake linamatatizo ya kuvimba."amesema rafiki yake wa karibu anaeitwa Hassan Omande
PHOTOS
DOWNLOAD MP3
VIDEOS
GOSPEL
NEWS
TUTORIALS
Imeelekezwa: News
About mbudutouches
C.E.O at Delta Media Studios, Music engeneer, video director and producer, song writter, graphics designer and music promoter.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WASOMAJI
Popular Posts
-
Not content to let Kanye West and Drake dominate the NBA All Star Game hip-hop press, notable pear enthusiast Rick Ross and his May...
-
Click #MATOKEO# to see your examination results #MATOKEO#
-
Coverage of Sam Smith's triumphant night at the Grammy Awards helped his debut album In The Lonely Hour (Capitol/Universal) retur...
-
Video hii imefanyikia ndani ya jiji la Mwanza na imefanya na kampuni ya Delta Videos chini ya director Mnyambudu ambaye pi...
-
Maafisa wa Marekani wamewakamata wanaume watatu Jumatano kwa tuhuma za kupanga njama za kuunga mkono kundi la kigaidi la Islamic State ...

No comments: