PHOTOS

DOWNLOAD MP3

VIDEOS

GOSPEL

NEWS

TUTORIALS


DIAMOND AMKAMATA MMOJA WA WACHAWI WAKE KIGAMBONI.
 Zikiwa zimepita siku 29 tangu alipofanyiwa vurugu za kutosha, wakati wa show yake aliyokuwa akiifanya ndani ya Maisha Club, na kusababisha watu kadhaa kuumia, chupa kurushwa na mayai viza kurushwa, huku akiachwa bila ya cheni, saa wala miwani alizokuwa amezivaa na kuambulia boooooo kibao, siku ya jumamosi Diamond alipokuwa akielekea Kigamboni kwenye show aliyokuwa anaifanya huko akiwa na msanii Z Anto, alifanikiwa kumkamata mmoja wa walioanzisha vurugu hizo, akiwa ndani ya pantoni nae akielekea kigamboni msikilize Diamond hapo chini, akiwa na Gossip Cop Sudy Brown kwenye UUUUUU HEEEAAARRD

About mbudutouches

C.E.O at Delta Media Studios, Music engeneer, video director and producer, song writter, graphics designer and music promoter.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Andika maoni


Top