JAMHURI YA MUUNGANO YA TANZANIA
WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII
MAOMBI YA NAFASI ZA MAFUNZO MWAKA WA MASOMO 2013/14
Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii anakaribisha maombi ya kujiunga na kozi mbalimbali
zinazotolewa na Wizara ya Afya kwa mwaka wa masomo 2013/2014.
No comments: