Mkurugenzi msaidizi wa radio saut Mr. Atanas akiwa na staff wengine katika pozi. |
DJ Lukas Maziku(Radio Saut) akismile.Huyu ndiye msimamizi wa mpango mzima that day |
J Kapongo (Barmedas TV) |
Dotto Bulendu (mkurugenzi mkuu wa radio Saut)akitoa historia fupi ya radio |
kuanzia kushoto ni The TZ Dream, DJ Maziku, T Nock, Producer Mnyambudu na J Kapongo |
Wakubwa wa JIJI wakikinukisha Stejini... |
THE EMPIRE FAMILY wakifanya yao... |
watu waliimbishwa wimbo wa taifa ROCKCITY ANTHEM(PARTY TIME) |
Put your hands uuuup.....!!! |
Winfrida Chumi(MC wa show)...So cute hah! |
Wazawa (T Nock na Mo Music) wapagawisha mwanzo mwisho |
T Nock Mamelodi mzee wa vokali... |
Hii ni sehemu tu ya mashabiki waliohudhuria mchongo huo.PARTY timeeee. |
Nyanda Van B ( MC) akiteta jambo na Mo Music wa Wazawa |
TEACH ME HOW TO DOGGIEEEE... |
DJ Talla on wizo na chuma, one and two.... |
Watu makini hufanya kazi kwa macho matatu...DJ Talla on the mix |
Producer bora chipukizi 2013 D Clasic alipanda pia kuhusika na killi Awards |
Backstage nako kulikuwa na yake... |
Shangwe,swagga na gammmbe... |
THE EMPIRE FAMILY OF STARS katika pozi |
After Party mida kama ya sa saba hv usiku mitaa ya Nyamalango |
Kula time |
Alloyce Nyanda (VAN B) |
Denis Love wa The EMPIRE |
King of Mwanza RnB Denis Love. |
No comments: