PHOTOS

DOWNLOAD MP3

VIDEOS

GOSPEL

NEWS

TUTORIALS






Video hii imefanyikia ndani ya jiji la Mwanza na imefanya na kampuni ya Delta Videos chini ya director Mnyambudu ambaye pia ndiye producer wa Delta Music aliyeitengeneza audio ya Neno Gani. Video ni full HD na ina story nzuri isiyochosha kuitazama. Tusubiri tarehe 18 october itakuwa katika vituo mbalimbali vya TV na mitandao yote ya kijamii. 

About mbudutouches

C.E.O at Delta Media Studios, Music engeneer, video director and producer, song writter, graphics designer and music promoter.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Andika maoni


Top