BREAKING NEWS: KEPTENI JOHN KOMBA (MBUNGE WA MBINGA) AFARIKI DUNIA
Habari zimetufikia hivi punde kwamba Mheshimiwa Kapteni John Damian Komba, Mbunge wa Mbinga Magharibi na mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM wilaya ya Mpya ya Nyasa, amefariki dunia majira ya saa kumi alasiri, katika hospitali ya TMJ, Kinondoni-Dar es salaam. Bado chanzo cha kifo chake hakijawekwa wazi. Bwana alitoa na Bwana ametwaa.,jina lake lihimidiwe
No comments: