OBAMA Wanted Dead By Islamic State
Maafisa wa Marekani wamewakamata wanaume watatu Jumatano kwa tuhuma za
kupanga njama za kuunga mkono kundi la kigaidi la Islamic State nchini
Syria na kumwua rais Barack Obama, polisi na mawakala wa idara ya
makosa ya jinai ya Marekani (FBI) ndani ya Marekani. Maafisa wanasema
wanaume wote watatu walikuwa wakiishi jijini New York ingawa wawili
wametambulishwa kama raia wa Uzbekistan na wa tatu kama raia wa
Kazakhstan.
No comments: